New

Cashier

Anonymous Employer

Job Summary

KAZI ZA KUFANYA-: i. Kuhudumia wateja wa NMB, CRDB , MPESA etc ii. Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida. iii. Kusaidia kupokea wageni,

  • Minimum Qualification: Certificate
  • Experience Level: Entry level
  • Experience Length: No Experience/Less than 1 year

Job Description

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

CASHIER (MPESA,NMB, CRDB ETC)

UWENDE GENERAL SUPPLY (UGS) ina watangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kuomba nafasi ya kazi

MTUNZI (Cashier)

SIFA ZA MWOMBAJI-:

i.            Awe msichana a aliyehitimu kidato cha iv au vi

ii.          Awe na uwezo wa hesabu

iii.        Unapokua na cheti cha mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikari na kupata cheti cha program za windows, Microsoft office, internet, email na publisher.unapata nafasi kubwa ya kuchaguliwa

iv.        Muombaji anatakiwa kuwa mwaminifu na mwenye jitihada katika kazi

.

KAZI ZA KUFANYA-:

i.            Kuhudumia wateja  wa  NMB,  CRDB , MPESA etc

ii.          Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida.

iii.          Kusaidia kupokea wageni, kuwasaili shida zao na kuwaelekeza

iv.            Kusadia kutunza taarifa ,kumbukumbu za matukio, wageni,kumbukumbu za hesabu pamoja na kazi zingine unazopewa na kiongozi wako

v.              Unapaswa kufanya kazi kwa wakati na kwa umakini

MASHARTI YA JUMLA

i.            Mwombajii awe raia wa Tanzania

Barua za maombi ziandikwe kwa mkono na mwombaji mwenyewe zikionesha anwani sahihi pamoja na namba ya simu na kuambatanisha

·        Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo

·        Kitambulisho cha utaifa au namba za kitambulisho

Kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika waandike katika CV

·        Ufupisho wa taarifa za mwombaji (cv)

·        Kivuli cha cheti cha kuzaliwa

·        Picha mbili za rangi (passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

iii.            Maombi yote yapitishwe na kiongozi wa mtaa/kata/kijiji mahali anapoishi mwombaji

iv.            Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe  30/07/2020 saa 9:00 alasiri

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Mkurugenzi, Uwende General Supply, S.L.P 157, IGUNGA –TABORA au Barua pepe :-uwendesg@gmail.com

Imetolewa na:-

Mkurugenzi

UWENDE GENERAL SUPPLY (UGS)

S.L.P 157 - IGUNGA

Share Job Post

Log In to apply now

Activate Notifications Stay productive - get the latest updates on Jobs & News
Activate
Deactivate Notifications Stop receiving the latest updates on Jobs & News
Deactivate
Rest of Tanzania
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Admin & Office
1d
Zanzibar
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Admin & Office
1mo
Dar es Salaam
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Admin & Office
1mo
Dar es Salaam
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Admin & Office
1mo