Job Summary

TAUS COFFEE AND GENERAL SUPPLY ni kampuni iliyopo mjini Shinyanga inayojishughulisha na uzalishaji wa vyakula mbalimbali .Tunahitaji maafisa masoko/mauzo kwa ajili ya kuuza bidhaa za kampuni yetu.

  • Minimum Qualification: Certificate
  • Experience Level: Entry level
  • Experience Length: 1 year

Job Description

Tunahitaji maafisa masoko/mauzo kwa ajili ya kuuza bidhaa za kampuni yetu katika mikoa ifuatayo, Shinyanga (1) Kahama (1) Nzega & Igunga (1) Tabora (1) Bariadi (1) Mwanza (2) Singida (1)


MAJUKUMU YA KAZI

1. Kutafuta masoko ya kuuza bidhaa zetu

2. Kutembelea na kutengeneza mahusiano mazuri na wateja

3. Kusimamia mauzo/makusanyo na kuyawasilisha

4. Majukumu mengine utakayopangiwa na ofisi


VIGEZO KWA MWOMBAJI

I. Awe na elimu ya angalau cheti(certificate) katika biashara na masoko kutoka chuo kilichosajiliwa

II. Awe mkazi wa eneo analoomba kazi

III. Awe na wadhamini wa wili kutoka eneo analotoka

IV. Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa

V. Awe mwaminifu na mchapa kazi


Mshahara: 250,000Tshs + KamisheniShare Job Post

Log In to apply now

Activate Notifications Stay productive - get the latest updates on Jobs & News
Activate
Deactivate Notifications Stop receiving the latest updates on Jobs & News
Deactivate
Rest of Tanzania
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
1mo
Rest of Tanzania
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
3w
Rest of Tanzania
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
3w
Anonymous Employer
Rest of Tanzania
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
2w