Wauza mafuta (Pump Attendants)

Anonymous Employer

Job Summary

Kituo cha kuuza mafuta kilichopo maeneo ya Vikindu, Mkuranga, kinatafuta wauza mafuta (wanaume na wanawake)

  • Minimum Qualification: Unspecified
  • Experience Level: No Experience
  • Experience Length: No Experience/Less than 1 year

Job Description/Requirements

Jukumu la Muuza Mafuta

1.     Kuuza mafuta na oili kwa wateja kwa ufanisi wa hali ya juu na kwa kufuata mwongozo wa mwajiri.

 

Ujuzi Unaohitajika

1.     Wenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea.

2.     Wenye kuweza kutoa huduma bora kwa wateja.

3.     Wenye usimamizi wa hela wa hali ya juu (kuhesabu, kurudisha chenji, n.k.)

4.     Wenye nidhamu na utii.

5.     Wenye uwezo wa kujifunza kwa haraka.

 

Hauhitaji kuwa na uzoefu wa kuuza mafuta ama wa kufanya kazi kwenye kituo cha mafuta. Kituo kiko tayari kuwapa kazi watu wenye kuonesha uwezo wa kujifunza kazi na kutoa huduma bora kwa wateja.

 

Kwa sababu ya mahali kilipo Kituo hiki, Vikindu, Mkuranga, waombaji walio karibu na Vikindu, ama ambao wako tayari kuhamia sehemu iliyo karibu kama wakipata kazi, watapewa kipaumbele.

 

Mshahara

 

Nafasi hii italipwa shs 180,000 mpaka 200,000 (mshahara baada ya makato)

 

Tuma CV yenye namba yako ya simu, pamoja na picha yako kwenda ammiel.co.ltd@gmail.com

Important Safety Tips

1. Do not make any payment without confirming with the BrighterMonday Customer Support Team. 2. If you think this advert is not genuine, please report it via the Report Job link below.

Share Job Post

Log In to apply now

Activate Notifications Stay productive - get the latest updates on Jobs & News
Activate
Deactivate Notifications Stop receiving the latest updates on Jobs & News
Deactivate
Anonymous Employer
Dar es Salaam
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
1mo
Anonymous Employer
Dar es Salaam
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
1mo
Dar es Salaam
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
1mo
Dar es Salaam
| Full Time |
TSh Confidential
Job Function: Sales
1mo